Meja Alfred Mwabili : Kwa Sasa vikosi vya Monusco vinaondoka na vinapatia majukumu ya kiusalama kwa FARDC

Meja Alfred Mwabili : Kwa Sasa vikosi vya Monusco vinaondoka na vinapatia majukumu ya kiusalama kwa FARDC

Tunapokea msemaji wa kijeshi wa MONUSCO aliyeko Goma ili atupe taarifa kuhusu shughuli za Jeshi katika wiki iliyopita. Meja Alfred Mwabili anazungumzia pia matokeo ya shughuli za kikosi cha Pakistani kilichomaliza kazi yake nchini DRC, pamoja na msaada wa vifaa vilivyotolewa na kikosi cha China kwa viongozi wa Kongo kabla ya kuondoka DRC. Meja Alfred Mwabili anazungumza na Sifa Maguru.

Soyez le premier à commenter

Laisser un commentaire