Accueil / Article

Meja Alfred Mwabili : Kwa Sasa vikosi vya Monusco vinaondoka na vinapatia majukumu ya kiusalama kwa FARDC

Publicité

Écouter cet article

Meja Alfred Mwabili : Kwa Sasa vikosi vya Monusco vinaondoka na vinapatia majukumu ya kiusalama kwa FARDC

Lecture audio disponible • Temps d’écoute : 1 min

00:00
01:00
Prêt à écouter.
Meja Alfred Mwabili : Kwa Sasa vikosi vya Monusco vinaondoka na vinapatia majukumu ya kiusalama kwa FARDC KazibaOnline Audio Reader v0.1
00:00 01:00

Tunapokea msemaji wa kijeshi wa MONUSCO aliyeko Goma ili atupe taarifa kuhusu shughuli za Jeshi katika wiki iliyopita. Meja Alfred Mwabili anazungumzia pia matokeo ya shughuli za kikosi cha Pakistani kilichomaliza kazi yake nchini DRC, pamoja na msaada wa vifaa vilivyotolewa na kikosi cha China kwa viongozi wa Kongo kabla ya kuondoka DRC. Meja Alfred Mwabili anazungumza na Sifa Maguru.

Publicité
Transparence éditoriale

Crédibilité, sources et corrections

Kaziba Online valorise la mémoire communautaire avec prudence, respect des personnes et vérification progressive des informations publiées.

Publié le8 mai 2024
Dernière mise à jour9 mai 2024
Auteur / contributeurKaziba Online
Publicité

Laisser un commentaire