Alain Mugangu : Mvua ndiyo inasababisha kazi za kukarabati barabara zinaenda polepole
Katika Kivu Kusini, barabara zote za kitaifa ziko katika hali ya juu sana ya ubovu. Jiji la Bukavu linajikuta limetengwa kufuatana na kutopitika kwa barabara zinazounganisha jiji hilo na maeneo mengine. Je, kampuni ya serikali, […]