Accueil / Article

Vianey Bisimwa: Kuahirisha Tamasha Amani mjini Goma ni ishara ya kuomba amani.

Publicité

Écouter cet article

Vianey Bisimwa: Kuahirisha Tamasha Amani mjini Goma ni ishara ya kuomba amani.

Lecture audio disponible • Temps d’écoute : 1 min

00:00
01:00
Prêt à écouter.
Vianey Bisimwa: Kuahirisha Tamasha Amani mjini Goma ni ishara ya kuomba amani. KazibaOnline Audio Reader v0.1
00:00 01:00

Kama ilivyopangwa kufanyika kuanzia tarehe kumi na sita hadi kumi na nane Februari mwaka tunao huko Goma, toleo la kumi la tamasha la Amani limeahirishwa hadi mwezi Juni ijayo. Ripoti inayohusiana na hali ya usalama karibu na Goma. Kulingana na mkuu wa tume ya mahusiano ya kimkakati ya Tamasha la Amani, uamuzi huu wa kuahirisha haukuwa rahisi kufanywa. Kulingana na Vianney Bisimwa, kuahirishwa huku kunaonyesha wazi hitaji la amani kwa eneo hili.

Publicité

Alipokelewa na Rosalie Zawadi.

Transparence éditoriale

Crédibilité, sources et corrections

Kaziba Online valorise la mémoire communautaire avec prudence, respect des personnes et vérification progressive des informations publiées.

Publié le12 février 2024
Dernière mise à jour12 février 2024
Auteur / contributeurKaziba Online
Publicité

Laisser un commentaire