Accueil / Article

Jeannot Kihoma: Bomu inakuwa na hatari kali, inaomba kufanya angalisho na vifaa ya vita

Publicité

Écouter cet article

Jeannot Kihoma: Bomu inakuwa na hatari kali, inaomba kufanya angalisho na vifaa ya vita

Lecture audio disponible • Temps d’écoute : 1 min

00:00
01:00
Prêt à écouter.
Jeannot Kihoma: Bomu inakuwa na hatari kali, inaomba kufanya angalisho na vifaa ya vita KazibaOnline Audio Reader v0.1
00:00 01:00

Leo tunamkaribisha Jeannot Kihoma, kiongozi wa timu ndani ya SYOPADI, ambayo ni muungano wa mashirika ya wakulima kwa ajili ya maendeleo shirikishi, yanafanya kazi katika mapambano dhidi ya makombora katika eneo la Beni huko Kivu Kaskazini.

Publicité

Anatoa wito kwa wakazi wa eneo hilo kujiepusha na kugusa vifaa visivyojulikana. Mukumbuke kuwa kila mwaka, tarehe ine Aprili ni Siku ya Kimataifa ya Uhamasishaji na Usaidizi kwa tatizo la Makombora. Anazungumza juu ya mada hii na Sadiki Abubakar. 

Transparence éditoriale

Crédibilité, sources et corrections

Kaziba Online valorise la mémoire communautaire avec prudence, respect des personnes et vérification progressive des informations publiées.

Publié le8 avril 2024
Dernière mise à jour8 avril 2024
Auteur / contributeurKaziba Online
Publicité

Laisser un commentaire