Meja Alfred Mwabili : Kwa Sasa vikosi vya Monusco vinaondoka na vinapatia majukumu ya kiusalama kwa FARDC
Tunapokea msemaji wa kijeshi wa MONUSCO aliyeko Goma ili atupe taarifa kuhusu shughuli za Jeshi katika wiki iliyopita. Meja Alfred Mwabili anazungumzia pia matokeo ya shughuli za kikosi cha Pakistani kilichomaliza kazi yake nchini DRC, […]